Mmoja kati ya wasanii wanaokuja kwa kasi sana katika ramani ya muziki Bongo Tanzania ni huyu hapa Chinbees kutoka Chugani Arusha.
Ni chorus killer, flows za kibabe ndio kitu ambacho kilimfanya iwe rahisi kukubalika kwenye ngoma kama “Macho kwenye Mapene” na nyingine kibao ambazo amesikika mkali huyo na hata zile ambazo ameshirikishwa kama Arosto, Sweet Mangi na nyinginezo.
Niko Mbali ndio track ambayo ilianza kumuweka vizuri kwenye ramani ya muziki yeye kama solo artist na baadae akaja kuumiza na hii Zuzu ambayo leo nimekuletea video yake official ambayo imeachiwa rasmi hapo jana. Enjoy
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
UKIHITAJI TANGAZO LAKO, WIMBO AU VIDEO YAKO
KUWEKWA NA KUONEKANA KATIKA HII BLOG
WASILIANA NASI KWA NAMBA 0764 068 209
EMAIL: Promobongo@gmail.com
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});