my-download-link
AUDIOS

AUDIO | King Kaka Ft. Bridget Blue – Njia (mp3 download)

Listen/download NJIA by King Kaka Featuring Bridget Blue
AUDIO DOWNLOAD [NEW SONG] : King Kaka Ft. Bridget Blue – Njia | Mp3 DOWNLOAD
KING KAKA is a best rapper musician artist from Kenya today has drop new audio song in 2019 by featuring BRIGDET BLUE, The Song Called NJIA is an Official Audio.
(Here are the lyrics enjoy)

Uuuh..waaaa..uuuu.
Nimegrow Empty oflate na my soul ni see through/
My mom is still sick ikifika usiku/
Phone iko by my bedside just in case/
Na honestly na miss our Happy Days/
You are a fighter mom manze God akubless/
As much as me ni big boss,na learn/
Usiku uwa na Toss and turn/
Na ukifeel pain,uwanga naifeel pia/
Saa zingine ata Hope inadidimia/
Hakuna story ya man hapa, manze mi ulia/
Na kama science inapeleka wasee uko kwa sky/
Kwani dawa ya mother ndio mmeshindwa kuwai/
Ata nimechukua car keys,Ma niko kwa ndai/
Na God sikuquestion najua wee ndio answer/
Lini miracle itaanswer

my-download-link

Chorus(Bridget Blue)
Nipe jibu kama baba unanisikia
Na kama unanisikia
Nionyeshe ile njia mi nitapitiaaaaa
Swale..Nina Maswale
Swale ..Nina maswale

(King Kaka Verse II)
Okay..
Nimegrow Empty of late na my soul ni see through/
Hii safari bila taa ni Kama misitu/
Ulisema you are the way,the truth the life/
Macho yangu iko Kwa sky,nionyeshe ata ka light/
I am not questioning sijai kudoubt kabisa/
niliambiwa student mzuri ni maswali atauliza/
How comes mom anaugua hizi miaka zote?/
How comes mom haponi na hizi dawa zote?/
Na hawa madaktari wananitake in circles/
Sijaweka imani kwao,nimeweka imani kwako/
Sometimes Niko impatient juu wee uko on time/
Labda sijafikiwa request iko Kwa line/
You have shown me before,show me one more time/
Umenibless sikatai lakini vile mom anaugua haifai/

Chorus(Bridget Blue)
Nipe jibu kama baba unanisikia
Na kama unanisikia
Nionyeshe ile njia mi nitapitiaaaaa
Swale..Nina Maswale
Swale ..Nina maswale

(King Kaka)
Unajua..Najua God umenibless and I’m not eti eti nakuzushia or anything
Sikuzushii manze
Najua this is a song nafaa nirhyme and all
But I feel..Nataka tu tuhave a one on one yani
And I’m not..I’m not being ungrateful yaani
Ndio wasee wanacheki life yangu and they see I have a beautiful family nini
Ai..but God please Manze ata Kama ni test it’s enough yani,si wee ndio the answer
Hii test umenipea ni Kama nimefail yani,wee ndio the answer
Please please..tafadhali..please manze

Uuuuuhhhh—-yayayaya
Uhhhhh..yayaya

Chorus(Bridget Blue)
Nipe jibu kama baba unanisikia
Na kama una-ni-si-ki-a
Nionyesheee ile njia mi nitapitiaaaaa(yeee)
Nipe jibu kama baba una-ni-skia
Na kama unanisikia ni-o-nyesheee ile njia nitapitiaaaaa

Download Audio: King Kaka Ft. Bridget Blue – Njia

https://stream70.hearthis.at/index.php?track=mtikiso/king-kaka-ft-bridget-blue-njia

About the author

Mtikiso Music

Leave a Comment