NEWS Uncategorized

WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix.

WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix.
Kuanzia tarehe 8/4-14/4 2019 simu za
Infinix zitakuwa katika punguzo la bei kupitia soko la mtandaoni lifahamikalo
kama Jumia na punguzo hili kufanyika kwa wiki moja ya JUMIA MOBILE WEEK.
JUMIA MOBILE WEEK ni wiki madhubuti kwajili ya kuuza simu kwa bei ya punguzo,
na safari hii simu za Infinix ikiwamo Infinix ZERO 6 na Infinix HOT 7 ni miongoni mwa simu
zitakazopatikana kwa bei ya punguzo. Jumia mobile week imeanza rasmi tarehe
8/4-14/4 2019.
Infinix
Mobile Tanzania
 inatumia nafasi hii kuingiza simu za Infinix
katika JUMIA MOBILE WEEK ikiwamo simu zilizoingia sokoni mwishoni mwa mwezi wa
tatu kwa dhumuni la kufanya kila mtanzania aweze kuhamia katika ulimwengu wa
kidijitali, ulimwengu unaoaminika kuwa suluhisho hata kwa yale
yanavyoshindikana kufanyika kwa muda mfupi.
Na ukiondoa matumizi ya simu
kuwa kwajili ya mawasiliano tu lakini Infinix inatambua umuhimu wa simu hasa
kwa matumizi ya kujiongezea kipata mfano Infinix ZERO 6 kupitia uwezo wake wa
kamera unapata picha sasa hii kuwa ni chombo cha biashara.  sifa kuu ya
Infinix ZERO 6 ni kamera, Infinix ZERO 6 imewekwa nguvu nyingi upande wa
kamera  nyuma ikiwa na MP 12+MP 24 zenye kupiga picha/picha jongefu na mng’ao 
wa hali ya juu sana, na kamera ya mbele ni MP 20. Katika kuhakikisha Infinix
ZERO 6 inakupa picha yenye uhalisia ya mazingira husika ndipo teknolojia ya
Artifficial Intelligence inapofanya kazi yake.
Kwa asilimia 100% Infinix ni
kampuni yenye kujali wateja wake pamoja yakuwa Infinix HOT7 inapatikana kwa bei
chee katika maduka ya Infinix lakini bado ni miongoni mwa simu zilizopo katika
jumia mobile week. Infinix HOT 7 inasifika kwa kupiga muziki mzuri na hii ni
kutoka na DIRAC MODE iliyopo ndani ya Infinix HOT 7.
Na kwa simu yoyote ya Infinix
utakayonunua ndani ya mobile week itakuwa na warranty ya mwaka mmoja.
WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix.

Infinix ZERO 6,Infinix, Infinix HOT 7,Infinix
Mobile Tanzania
,
JUMIA MOBILE WEEK

About the author

Mtikiso Music

Leave a Comment