NEWS PROMO

SELELEKA NA KITONGA JACKPOT BONUS YA KIBABE Shinda mara 40 ya dau lako

SELELEKA NA KITONGA JACKPOT BONUS YA KIBABE Shinda mara 40 ya dau lako

Wale wababe katika anga za kubet, Betika inakuletea funga mwaka ya Kibabe itakayokufanya uvune pesa lakini pia kuna bonus za kumwaga zitakazokupa nafasi ya kucheza zaidi kupitia Kitonga Jackpot Bonasi ya Betika!


Iko hivi, Maisha ni rahisi kupitia Kitonga Jackpot Bonasi, Unashinda mara 40 ya dau lako utakaloweka katika mkeka wako kwa kiasi cha sh. 250 tu umeona wapi hii utaipata Betika pekee inayotaka uvune pesa.


Ukiacha utamu huo, Betika wanasema wote wanaocheza ni washindi ukiwemo wewe utakayecheza leo na sasa ukishinda mechi 7 kati ya mechi 8 za Kitonga Deile Jackpot; basi Betika haikuachi hivi hivi, Utajipatia bonasi ya sh.10,000 itakayo kuwezesha kucheza zaidi ili ushinde.

Unaachaje kucheza hii?


Achana na hiyo tu; Ukishinda mechi 6 kati ya mechi 8 bado Betika wako na wewe! Unapata bonasi la Kibabe la sh.1000 yote ni kukupa fursa ya kuvuna mamilioni kibabe.


Mtu wangu wa nguvu tambua kwamba zaidi ya watu 200 tayari wameshashinda na Kitonga Jackpot Bonasi ikiwa ni Siku chache tu  na sasa ni zamu yako wewe uliyebaki kujiunga katika ushindi huo.


Unachotakiwa kufanya ni rahisi, Zama www.betika.co.tz ukifika humo unabonyeza mahali pameandikwa Kitonga Deile Jackpot kisha chagua mechi zako kwa gharama ya sh 250 tu ili uwe mshindi.


Kwa maelezo zaidi kuhusu kitonga jackpot Bonasi na huduma zingine za Betika usisite kuwasiliana na namba 0659 070 700


Anza kubeti sasa useleleke na Kitonga Jackpot Bonasi msimu huu wa sikukuu ili nawe uwe mtamu na utambe unavyotaka kitaaa.

About the author

Mtikiso Music

MTIKISO ENTERTAINMENT is a website with different and unique talents in Africa and outside of Africa (ALL THE WORLD), which encourage and raise the talent to young peoples in creating good emotions and life insight.
Aims is to relentlessly inform, educate and entertain our audiences

Leave a Comment